Wapendwa kuna uwimbo unaitwa NIMEPATA SALAMA, umeimbwa na dada mmoja kutoka Kenya anaitwa HULDA VAGEN mwenye kuujua au mwenye nao naomba saaaana anipatie, naupenda mmmmno nimejaribu sana kuusaka kwenye mtandao sijafanikiwa kuupata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.