Madude ya longtime lakini bado ni mazuri kuyaangalia, mtaalamu Scott Adkins anachombeza mpola mpola. Hii movie ilichangia sana kumpa Adkins umaarufu.
Sana mkuu...ndo ugonjwa wangu huoKumbe nawe ni mdau wa hizi vitu? Hongera.
Mkuu fakalava kama unayo ile yaitwa STRIKE BACK tuwekee hapa tuifurahie.[/QU
STRIKE BACK NI NOMA....