Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Alafu akiwa mjanja atapiga show nyingine nyingi
1 Reactions
2 Replies
904 Views
Nijulisheni wana jf.Hiyo channel ya tve inapatikana kwenye decoder gani? Dstv? startimes?continental? zuku?Nataka ninunue decoder yenye chaneli ya tve.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hakika Mungu hakupi unachotaka bali unachostahili. Kijana machachari kabisa asiye na tambo za maisha binafsi ametibu kiu ya mashabiki zake. Kupitia wimbo alioshirikishwa na mdogo wake Abdu Kiba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kizuri siku zote kipewe sifa zake ,mziki mzuri kuanzia sound na touches za producer ni mpya ...
0 Reactions
73 Replies
18K Views
ni mdaa sasa nimekuwa mpenzi wa cover songs maana zinanipa burudani niitakayo na kuweza kuona vipaji mbalimbali ...so nita share nanyi cover songs ili uweze pata burudani hii nawe waweza share...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Katika tangazo la tigo hili jipya la baba ulimpatajemama kuna beat ya chini inasikika kwa mbali,naomba mwenye kujua beat hiyo huwa ni ya wimbo gani anisaidie tafadhali
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kesho tarehe 8 aslay atapiga show kubwa pale Lina's night club show inaanza SAA 3 usiku itakuwa ni isiku wa kisherehekea miaka Tisa ya radio kasibante radio matata mjini bk usikose nyimbo zote za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni zaidi ya miaka 35 tangu afariki dunia, ila muziki wake umeendelea kudumu zaidi kiasi cha wasanii mbali mbali kuzitumia tungu zake kwenye tungo zao, ama kurudia nyimbo zake ama kutumia rithym ya...
3 Reactions
3 Replies
7K Views
Ninapenda kuweka wazi maombi yangu ya kupewa taarifa ulipo usahili (auditions) wa kuigiza katika filamu, documentary au matangazo ya runinga. Naomba msaada na ushirikiano wenu. Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
995 Views
SADIKI NA SIKIRI Sadiki ni mtoto anayeishi karibu na Ujiji. Anaye ndugu yake aitwaye Sikiri. Sadiki na Sikiri husoma katika shule ya Businde. Sadiki anafanya kazi zote kwa bidii. Lakini Sikiri...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika igizo la SIDE WA KITONGA linalorushwa kila siku za alhamis saa moja usiku halina ubunifu kwani idea ni zilezile kil siku dah.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dr. Shika aandaliwa tamasha la ‘Usiku wa 900 itapendeza’ Dkt. Louis Shika ambaye amejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara maarufu, Said Lugumi...
1 Reactions
34 Replies
8K Views
Naomba mwenye kuelewa anielekeze namna ya kulipia hiyo tv channel inapatikana startimes. Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye hili game la fifa 17 linaloweza kuchezeka kwenye pc au laptop tafadhali saaaaaana naomba anisaidie.... Nipo dar kwa leo tuuu kesho narud kijijini uko... Naomben msaada wenu jamani hata kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namba moja niwekee ngoma ya madee. 1. Sema unataka nini 2. .. .. 3...... Vipi msimamo wako? Weka ngoma yako hapa chini
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Dedication to you jje's
1 Reactions
0 Replies
737 Views
Wadau, Miaka hiyo Bongo Flava inaanza nlikua mpenzi na mfuatiliaji sana wa hii miziki. Ilifikia mpaka nikawa natoroka Shule ili niwahi kusit near Radio Cassette ya Mshua na Cassette yangu...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Salam zenu, Ilikuwa siku Jumamosi kama saa 10:00 asubuhi hivi. Kwa kawaida kazini kwetu huwa siku za weekend tunafanya kazi asubuh hadi mchana tu. Mkuu wangu wa kazi alikuja nilipo na kunipa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesikiliza mistari ya humu ndani nikasema Joyner Lucas ni kiwango kingine kabisaaa. Alichoimba na jinsi alivyowatumia wahusika na kuwianisha tabia zao ambazo zipo ndicho kimeniacha hoi...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Back
Top Bottom