Upi ni umri sahihi wa muigizaji au muimbaji wa muziki kutaka kutimiza ndoto yake

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
794
1,000
Habarini wakuu, hivi mfano mtu anataka kuja kuwa muimba mziki au muigizaji, je ili atimize ndoto yake hiyo huwa kuna time limit mfano labda ni late 20's au early 30's au huwa haina limitations kama kwenye mpira n.k
 
  • Thanks
Reactions: Pep

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,194
2,000
kazi za sanaa na michezo umri sahihi wa kuanza nazo ni 18.. angalau unafika 28 upo kwenye peak kila mtu anajua ubora wako... maana hizo kazi zinataka creativity na kujituma sana... umri unavyoongezeka na creativity inapungua... inakuwa hutoboi tena... so jina linakubeba... mfano diamond, late kanumba, lulu, jokate, lady jaydee
 
Mbona kuna wengine wanaanza kuigiza wakiwa umri umeenda mkuu, au Waimbaji kama Rappers hutoboa wakiwa katika Late 20's hii ikoje mkuu
 
Majestic wolf

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
1,245
2,000
Waigizaji na wasanii me naona ni kama probability tu kina pharrel Williams nimeanza kuwasikia wakiwa watu wazima ila kina Justin Bieber nimeanza kuwasikia wakiwa under 18 so inategemea
 
Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
794
1,000
Waigizaji na wasanii me naona ni kama probability tu kina pharrel Williams nimeanza kuwasikia wakiwa watu wazima ila kina Justin Bieber nimeanza kuwasikia wakiwa under 18 so inategemea
Sawa sawa mkuu, kuna watu hutumia muda mwingi sana kutoka, anaanza harakati mapema lkn kutoboa baadaye sana, wengine ndo kama hivyo mapema tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom