Wanafunzi wote wa vyuo vikuu vya Dodoma mnakaribishwa katika event kali itakayowakutanisha wote, atakuwepo Aslay, Nandy na Dogo janja special appearance JOKATE.
UDOM, CBE, MIPANGO, ST JOHN NA...
What up y’all...
Do you hate earworms as much as I do?
They are so annoying, man.
No matter how dope the song is it gets to a point where you literally can’t stop yourself from hearing it in...
HAYA NI MENGI AMBAYO HUKUYAFAHAMU KUHUSU FILAMU YA TITANIC
(Kwa hisani ya Global Publishers)
JANA niliamua kuangalia tena na tena filamu ya Titanic, hakika sikuichoka na ninaweza kukiri kwamba...
Hua inatokea bahati mbaya naangalia movie za hapa bongo,kiukwel hua najiuliza hivi hii movie ina director?na je kama yupo baada ya kufanya edit zote hua wanakaa na kuiangalia yote kabla ya...
Habari wapendwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Muimbaji wa nyimbo za kizazi kipya na pia naweza kiasi kuuandaa.(Producer).
Dhumuni la kuja mbele yenu waungwana, ni kuomba msaada wenu...
hatimaye Gigy Money awa mwanamuziki,ameimba wimbo mzuri sijui nani kamwandikia
tuburudike huku tukitoa maoni kwa jinsi kila mmoja alivyouchukulia huu wimbo,binafsi nimeupenda,nimetumia kanuni ya...
Whats up guys,jamani naomba analysis ya hizi samples za beats kutoka very experienced producers i mean nini cha kuongeza na nini cha kupunguza kwenye hizi samples za beats
Tafadhali naomba unipe jina la movie tajwa hapo juu.
TANBIHI:Hata bongo movie za zamani zijawahi kuziangalia, so kama kuna uliyoipenda nami nimegee jina niweze kuitafuta
Ebwana kwa taarifa yao Grace Mugabe kalegeza na ile Ngoma ya Kikubwa kesho inakesha.
Tujuzane kesho kama utazama ndani utazama kwaajili ya perfomance ya nani??
Unatokelezaje na maexperience yako...
Kila kitu tunachafanya au kupanga kufanya ni vyema tukaainisha wazi faida na hasara ambazo zinatarajiwa kupatikana, kisha zikawekwa kwenye mzani na kuona mzani unapodondokea, kisha ndio tufanye...
Yawezekana sasa hivi Watanzania tumeamua kuamka na kusapoti vya nyumbani, Pole kwa wote mnaotazama home sie bado tuko hapa mpaka Jogoo awike.
Afande Sele kaperfoam kama miongoni mwa wasanii wa...
Mtangazaji wa kipindi cha xxl cha clouds fm amesema hii ndio itakuwa fiesta ya mwisho kufanyika leaders club njooni tufunge NANUKUU; "mwakani tutatafuta pakwenda njoo tufunge leaders" je wanataka...
Uhakika ni kwamba mwaka huu wale watu wa fiesta hakuna msanii wa kimataifa,,sababu ni uzalendo,,wadau hapa kuna ukweli na huu uzalendo umeeanza ili na kwa nn mwanzo aukuwepo kama hoja ni uzalendo...
Kuna mda tunapata shida kutambua kwa urahisi vitu vilivyopo pichani, ni lazima utulivu mkubwa uwepo ili kubaini kilichopo katika picha,
Kwa mfano picha hii sio rahisi kukijua kiumbe kilichopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.