Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,733
- 4,050
Wanipa sababu za kupenda, nimeshasahau maumivuu
Daima milele nitakuganda, nikikosea niadhibuu
Mr.computer nipange vinanda,nizikwe na wewe zainabuuu
Nje kuna kiza kimetanda, we nuru Fanya ustaraabuu
Sikudanganyii kama ulediiiiii, hebu niaminii
Kama kupenda Nina welediii,baki na mimii
Kwangu hakuna njano wala red, hauko hatariniii
Waache watuseme bad bad, watufitinii
Chorus
(Niamini moyo ushatua kwakooo
jiamini hakuna mwingine zaid yakoo)×2
Verse 2
Ushanipa maana ya upendoo
nikiwa nawe nabadiri mpaka mwendo
Najiona shujaaa najiona temboo
Mwengine kinyaa kwangu nawaweka kandoo
Nikiwa na njaa nikikuona mi nashibaa
Siku ukinikataa nyumban utakua msiba
We kwangu kama taa kwenye moyo wenye kizaa
Mishale kwenye saa usije badir mida
Aaahaa sitaki penz mwendo kasi
Mi chanya we ndo hasi
Mi udongo we ni nyasi
Mi nguo we ni pasii
Nipende mpaka basii
Unapendeza ukinunaa
Ukitabasamu uzur wako mfano hakuna
Toka nikufahamu nimeshatulia mama
Chorus
(Niamini moyo ushatua kwakooo!
Jiamin hakuna mwngne zaid ako)×2
Sitaki penzi makinikiaa! Nipe.looteee
Mwenzio nishaumiaaa! Hebu niokotee
Usije ukanikimbia! Tufe oteee
Kwako nmekoleaaa! Siendi popoteee....
Daima milele nitakuganda, nikikosea niadhibuu
Mr.computer nipange vinanda,nizikwe na wewe zainabuuu
Nje kuna kiza kimetanda, we nuru Fanya ustaraabuu
Sikudanganyii kama ulediiiiii, hebu niaminii
Kama kupenda Nina welediii,baki na mimii
Kwangu hakuna njano wala red, hauko hatariniii
Waache watuseme bad bad, watufitinii
Chorus
(Niamini moyo ushatua kwakooo
jiamini hakuna mwingine zaid yakoo)×2
Verse 2
Ushanipa maana ya upendoo
nikiwa nawe nabadiri mpaka mwendo
Najiona shujaaa najiona temboo
Mwengine kinyaa kwangu nawaweka kandoo
Nikiwa na njaa nikikuona mi nashibaa
Siku ukinikataa nyumban utakua msiba
We kwangu kama taa kwenye moyo wenye kizaa
Mishale kwenye saa usije badir mida
Aaahaa sitaki penz mwendo kasi
Mi chanya we ndo hasi
Mi udongo we ni nyasi
Mi nguo we ni pasii
Nipende mpaka basii
Unapendeza ukinunaa
Ukitabasamu uzur wako mfano hakuna
Toka nikufahamu nimeshatulia mama
Chorus
(Niamini moyo ushatua kwakooo!
Jiamin hakuna mwngne zaid ako)×2
Sitaki penzi makinikiaa! Nipe.looteee
Mwenzio nishaumiaaa! Hebu niokotee
Usije ukanikimbia! Tufe oteee
Kwako nmekoleaaa! Siendi popoteee....