Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Aliyeandaa tamasha la Werrason Mwanza ala za uso ‘sileti tena msanii Mwanza’ Weekend hii mkoani Mwanza muandaaji wa Tamasta la Werrason amekula za uso baada ya mashabiki kuingia mitini katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Haya kwa wale matomaso chekini hii BEFORE and AFTER.
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Vanessa Mdee na Barnaba wakitumbuiza jukwaani. Vanessa na Jux wakiperform Mtwara. Ni rasmi kuwa wasanii wa Tanzania, Vanessa Mdee na Juma Jux wanakua mfano wa kuigwa katika safari ya...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Mimi si shabiki wa skendo zako ila ni shabiki mkubwa wa mziki mzuri kitu ambacho umefanya kwenye wimbo huu congratulations kwa kweli!. Bonge la trap, hakika umeitendea haki beat umebadilika na...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
1.Malela,malela malela...maalela malela wangu namtafutax2 Mara ya kwanza nilisikia upo Kigoma...maalela malela wangu namtafuta alinikimbia mara ya mwisho tulionana mara baada ya kuishiwa
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Ghafla nimezikumbuka nyimbo za jeshini, enzi zileee "safari ya mamaa naiombea baraka, safari ya mamaa naiombea baraka, nilimwambia mama, kwa heri nakwenda, kulijenga taifa langu la leo, hiyooo...
3 Reactions
71 Replies
24K Views
Habari ndugu zangu' Naomba msaada wa anayefahamu kuhusu soko la bongo movie kwa nchi za kenya na Rwanda, nina Movie na pia na mpango wa kutengeneza nyingi sana hivyo ningependa kujua soko likoje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Miezi kadhaa tokea ameachia hii nyimbo nimekuwa nikiiskiliza mara kwa mara bila kuchoka, kitu nlichokigundua Huyu kijana ana Talent ya kipekee, na hii nyimbo ni nzuri sana Nyimbo hii...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Unakuta most of american Hollywood movies unakuta kuna sex action zimewekwa yaani watu wakifanya ngono hadharani mbele ya kamera Na hali wakijua wanaonekana Na wazazi wao Na Ndugu. Nafikiri hii...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hivi karibuni Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Bwn. Mngereza alitoa kauli na onyo kwa wasanii wa kizazi kipya kuwa waangalifu na kufuata sheria za nchi bila kukiuka maadili ya...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Audio Mpya ya Kwake LAVA LAVA, Wimbo Unaitwa "NIMEKUCHAGUA" DOWNLOAD HAPA AUDIO : Lava Lava - Nimekuchagua | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENT
0 Reactions
0 Replies
14K Views
  • Poll Poll
Unachanga Karata Tu! Hehe! Kichwa Kichafu Mwifwa mumu @demis karibuni Tuchange Karata.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Makubwa Ya Kombe La Dunia: Mlinzi Aliyewafungulia Wafungwa Gerezani Hispania! Ndugu zangu, FAINALI Za KOMBE LA DUNIA ina maana ya msimu wa kuamka kwa hisia za utaifa. Na hakika kandanda ina...
8 Reactions
25 Replies
17K Views
RIWAYA: SIKUJUA UNGENISALITI MPENZI (1) MTUNZI: JOSEPH SHALUWA SIMU: 0762 458590 EMAIL: joeshaluwa@gmail.com FACEBOOK: Joseph Shaluwa INSTAGRAM: josephshaluwa ***** HALI ya hewa ilikuwa ya...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari za siku nyingi wadau kwakweli maisha yalikua magumu sana bila Jf Nimpongeze melo na jopo lake kwa kuirudisha hewani Lkn kama kawaida kufa ni kufaana Baada ya jf kufungiwa Kuna baadhi ya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hapa hakuna maneno mengi. Weka trailer ya movie au series yoyote. Mimi naanza na hizi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SCRIPT ZA IMA. MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO. SEHEMU YA KWANZA. NYUMBANI KWA MKWERE CHUMBANI-ASUBUHI. Mkwere, kijana, 30, yupo kitandani amelala, pembeni kwenye kochi wapo Erin,mtoto, binti wa...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Mwaka 1990 Kanisa Katoliki nchini Tanzania lilipatwa na ugeni kutoka VATICAN. Papa YOHANE PAULO WA PILI alidhuru Tanzania. Kanisa Katoliki Tanzania liliandaa kwaya Maalumu...
16 Reactions
83 Replies
28K Views
Naomba mtaalam wa mambo ya biashara ya muziki anidadavulie nini kimeua muziki wa dansi. Mbona wapenzi wake bado tuko wengi kuliko miziki mingine? TV stations na radio ni kama zimeamua kuususia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kusaidiwa kufahamu ni wapi naweza kupata studio ambazo zinarekodi mziki wa injili. Natanguliza shukurani zangu.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom