habari wadau..
tunajua wcb ina uhasama na redio na tv karibu zote kubwa.. na hawapigi nyimbo zao nowdays..
kwa ngwaru imetoka kipindi ambacho wameshazuiliwa nyimbo zao kupigwa...
nashangaa imesambaa sana mitaani na kupigwa kila sehemu.. sio boda boda, sio harusini, sio club wala wapi.. kwa haraka haraka ndio hit song inayoongoza kila sehemu kipindi hiki..
ingekuwa enzi zile hakuna bifu namba moja kila redio top 10 au chat ingekuwa kwa ngwaru bila majungu...
swali nalojiuliza.. wale wasiopiga wanajisikiaje pale top 20 namba moja anashika nandy mfano huku nyimbo yake hata mtangazaji haijui jina wala mstari yake kazaa... na hapo hapo kila anapoenda anasikia kwa ngwaru tu...
hivi wanajisikiaje?