cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
Tupitie verse ya legendary wa hip-hop kutoka Arusha best story teller raper ov all the time umbwa mzee......nyang'au
Ilikua Manchester bar mida ya saa tisa
Machiz wanapiga deal kwenda kuliza
Ikaibuka rav4 ndani imejaa masniper
Bar ikazungukwa watu wakatekwa kama... mara kaachini
Mkwasi amezunguka kila kona
Raiaaa kule ndani hawakukujua kama wangepona
Akataitiwa mikono akapigwa bangili
Mchiz ni broo akaanza kudai wakili
Akili ya jela na mtaa mara mbili
Walikua wanatime oneten ya halfgame na dili
Akashikwa shatikaptula mpka kwenye pira
Tumbonii vijana maabusu aliuwawaa
Akaingizwa kwenye ndinga kwa mahojiano zaidi
Wakampeleka usa walipopelekwa magaidi
Maojiano yanafanyika mchiz aliteswa sana
Akapigwa sink ya mbavu laki bado aka bana
Wazee wakaona anapoteza muda wao
Rober rii man hizo rober za mbao
Taarifa ikapelekwa kwa ndugu wa Tumbonii
Alikutwa akiwa na matundu ya risasi tumboni.
Tumbonii alikua nyapara wa jela ya Arusha..
Tumbonii nyamera ambaye huwez kumrusha...
Tumbonii bizness man Jiji zima..
Tumbonii dakika za mwisho wazee walimzima....