24 series na prison break ipi kali?

achana na 24 aseee...
inafuatiwa na show ya kibabe inaitwa Game of Thrones ikifuatiwa na Series moja matata sana ya kikorea inaitwa Dae Joyoung...

halafu ndio prison break.
panga upya list yako mkuu yani prison uliganishe na za kikorea hapo mkali wa prison ni 24 tu
Acha kufananisha Prison break na vitu vya kipuuzi ww
season 1 and 2 hazipaswi kulinganishwa na upuuzi kweli lakini 3 na 4 hakuna cha maana sana labda tu wait season 5 labda inaweza ikawa ni zaidi
Priaon break now nadhani naiangalia kwa mara ya kumi,ni noma hiyo series..24 haiingii ndani
hakuna series inayoitwa priaon break au ni mpya mkuu
Walking dead

rudi ukaiangalie vizuri prison
Wadau,

Kunaubishani huku, naomba mtusaidie na nyie kati ya series ya 24 na prison break ipi ni series kali sana.
kiufupi ni kwamba inaanza 24 then prison break asikwambie mtu hizi ndio show Kali zaidi mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom