Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

KOFFI RAPPERS VS FALLY RAPPERS, KOFFI DANCERS VS FALLY DANCERS, KOFFI PARTICIPATION VS FALLY PARTICIPATION. Tiririka na maoni yako mdau!
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Sijawahi kuangalia movie yote ya Kibongo bila kuona kipande cha mapenzi . Maajabu sana ! Tunashindwa kuangalia na watoto na mama mkwe aisee ! Mbaya zaidi vipande vyenyewe wanavyoigiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa wa JF,
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Aisee Ruby ni habari nyingine ana sauti balaa tupu. Hii ngoma yake aliyowashirikisha the mafik ni hatari sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Fid Q mkali wa mistari na Mfalme wa Rymes Afande sele Nani Zaidi?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Producer na Msanii Mike WiLL Made It akiwa na msanii Trouble wakitambulisha album yao mpya ya #Edgewood kwenye redio moja USA wakaulizwa na mtangazaji wanahisi nani ni muanzilishi wa Trapp Music...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tulisha waambia hapa kwamba... Jitahidini muwe tofauti. Kama mmeamua kuwa TV ys Burudani then be it... Pigeni Mziki tu. Msije jaribu leta mambo ya taarifa za habari au matukio.. Alafu msikopi...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kumekucha! Muda mfupi uliopita Mahakama nchini Ufaransa imeamuru Mwanamuziki Koffi Olomide akamatwe haraka na apelekwe nchini humo kujibu mashtaka ya Kupiga, Kubaka na Kuwadhalilisha Kingono...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Kiukweli movie hii wakati inatangazwa na hata baadaa ya kutoka watu wengi waliisifia sana mpaka nikahisi kuwa chizi kwasababu sikuwahi kuiona. Mmmmmmmmhhhhh!! Nigune tena mhhhhhhhh!! Sasa...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Kama hupendi HIP-HOP yenye akili uzi huu haukuhusu, kama wewe ni mdau basi mzigo wenyewe huu hapa
1 Reactions
7 Replies
7K Views
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI mwanadishi kutoka nchini Tanzania, Erick Justo akiwa amechaguliwa kuwa mwandishi bora wa habari kwa Bara la Afrika mwaka huo. Ukiachana na furaha za Watanzania hao, hata...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau, Kunaubishani huku, naomba mtusaidie na nyie kati ya series ya 24 na prison break ipi ni series kali sana.
2 Reactions
276 Replies
25K Views
habari wadau.. tunajua wcb ina uhasama na redio na tv karibu zote kubwa.. na hawapigi nyimbo zao nowdays.. kwa ngwaru imetoka kipindi ambacho wameshazuiliwa nyimbo zao kupigwa... nashangaa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nazifahamu nyimbo zake nne ,Lakini huu ni wimbo wake wa kwanza kabisa kuutoa .Alikuwa famous sana mkoani iringa miaka ya 2007 -2010
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Good Morning kwenu nyote.. LEO NI #TAZAMAMOVIE FRIDAY BOFYA MBELE YA MAJINA YA MOVIE KUTIZAMA MOVIE UZIPENDAZO. "JE ALAUMIWE PART 1" "JE ALAUMIWE PART 2"...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Ritungu toka kanda Maalum ya Tarime/Rorya
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Wakuu mambo vipi Swali:nani mmiliki wa dizzim media?
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Naomba dua, pendo liendelee Lisije likaungua, kwa maneno lipotee Nitaomba samahani, makosa unisamehe Siunajua Hali yangu temeze Usisikie maneno ya watu Ukaniacha mimi Mwenzio mi nitapoteza Jua...
2 Reactions
36 Replies
10K Views
Ujumbe mzuri kwa wanaoamini na wasioamini. Great message to believers and Non-believers. =========== Chorus! Fanya Hisab Kamili Upime zako Amali Upatalo ndilo kweli Amua Mwenye Akili Verse Mja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Rock mmeisikia hii nyimbo ya THUNDER kutoka kwa Imagine dragons?
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Back
Top Bottom