Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna wimbo uliimbwa zamani kidogo na msanii wa bongo simkumbuki lakini alikua na rasi. Unaimbwa hivi..hoo baby zimbaa,zimbaaa hoo baby zimbakalanyo. Nahisi kuna kitu unataka kunieleza lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
It takes a million people To build up a good reputation But it takes one stupid fool To destroy everything they've done The world knows your people as The most violent in the world The world knows...
32 Reactions
67 Replies
33K Views
Nimependa mashairi ya huu wimbo 'ALL OF ME' by John Legend ......kama hujawahi kuusikia utafute but mostly nimependa choice of words....hasa aliposema ' i love you with all your 'perfect...
16 Reactions
148 Replies
11K Views
Baada ya kufanya hit song na Ben pol, ungependa afanye collabo na nani?
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hy
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Mwenye projector nzuri ambayo inatumia umeme wa ac-dc .Iwe HD katika picha ili niweze kuinunua kwa ajili ya kuonyesha Mpira nje na iwe Quality Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Hello me and my friends are wondering what is a best place to get swahili songs, old and new ones? Mimi na rafiki yangu, tunataka kujua sehemu gani tunaweza pata nyimbo za kiswahili, bongofleva...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hongera Wasafi TV kwa burudani nzuri mnayotoa, mnakubalika na kwa kweli mtafika mbali sana. Kinachonikera ni kipindi chenu cha Kungwi na matangazo yake. Maudhui ya kipindi na matangazo yake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna msanii nimemsikia kitambo saana nyimbo yake moja inasema,nitanukuu tu baadhi ya maneno.."Leo ni vifijo na vigele gelee! Moyoni mwangu,raha tele telee! Ni pendo,ni pendo,furaha tuu! Na kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wale watazamaji wa movie ambao hudhania filamu nzima inapokuwa ikiigizwa basi wale masterling wake ndio ambao huwa wanahusika kwenye kuigiza complete set za filamu husika!. Well unachofikiria...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwenye nyimbo za dini za zamani na mpya mpya naomba anitumie, njia ya kutumia inaweza kuwa kwa kutuma link ya google au Microsoft drive au cloud storage yoyote. Pia kama kuna mtandao unaujua...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Asante Kante,mchango wako katika dakika 45 hautasahaulika.Nenda na njano ila NYEUSI yako rangi itawachoma milele.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ZIFAHAMU SIFA ZA WASHIRIKI MISS TANZANIA KWA MWAKA HUU. Washiriki wote katika ngazi zote za mashindano watakuwa wasichana tu wenye Sifa zifuatazo; umri wa kati ya miaka 18 hadi miaka 24(mshiriki...
1 Reactions
103 Replies
21K Views
1. Baila by Diamond Platnumz Ft Miri Ben-Ari 2.Totoa by Aslay 3. Kiki ni Gigy by Gigy money Ft Whozu& Sanja 4.Nadekezwa by Mbosso 5. Banana by Dogo Janja Ni hayo tu kwa leo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za hapa jamvini, Naombeni yeyote mwenye wimbo wa Jastin Kalikawe unaosema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako mwenyewe" aniwekee hapa.] Nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nilikuwa nimekaa zangu pande flani mara akaja dada akauliza "Iv walioenda kupokea ndege wamesharudi? Maana mume wangu simuoni" Nimjibuje? @ Entertainment
1 Reactions
5 Replies
708 Views
Hakuna msanii anaweza kuwashinda hawa jamaa kwa michano na free style ni wakali sana hata kwa kuwasikiliza huwezi kujutia bahat yao mbaya watanzania hatuupi mziki wa hip hop kiapaumbele one mzee...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu! Kuna ile staili ya wachina wanashevu nywele mbele then nywele za nyuma wanazisuka zinakua kama nywele moja! Basi naomba tu share movie yoyote ile ambayo wameweka nywele kwa style hiyo.. Hua...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna wimbo wa 20% sijalijua jina lake bado, Ila anaanza kuimba maneno Haya "Nimeajiriwa Kwenye ajira niliyojiajiri, Na nasifiwa utendaji wangu wa kazi ni mzuri ..." Kisha churus yake anaimba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom