KWANZA UNIT - Album Kwanzanians

KWANZA UNIT - Album Kwanzanians

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Album [emoji117]Kwanzanians

Released: 2000
Genre: Hip Hop
Style: Bongo Flava

Tracklist
1 Intro
2 Kwanzanianz
3 Inahouse
4 Interlude
5 Beyond Belief
6 Interlude
7 Msafiri
8 Friction
9 Interlude
10 Man To Man
11 Check Navyoflow
12 Interlude
13 Beyond Belief (Remix)
14 Acha
15 Interlude
16 Kamari
17 Yippy Yapping
18 Kivingine
19 Interlude
20 Nakuja
21 Runtingz
22 So Why
23 Outtro
24 Beyond Belief (Posse Remix)

Credits
Co-producer – Master Jay (7) (tracks: 7)
Producer – Ludigo (tracks: 20),
Master Jay (7) (tracks: 14, 18 and 21),
P-Funk (2) (tracks: 2, 3, 5, 8, 10, 11, 13, 16, 17 and 24),
Rhymson (tracks: 7)

Naomba mwenye nyimbo hizi anisaidie namna ya kuzipata...nimejaribu kununua online naona chenga tu.
fe14f98d3d28803bdce137e55a79037e.jpg
 
Jarbu kuchek videoder huwa kuna kazi zao na baadhi ya documentary zao
 
Naitafuta ngoma yao moja inaitwa kukurukakara zako! naipataje hiyo mkuu?
 
wakuu mimi natafuta album ya prof.JAY machozi jasho na damu
 
Naitafuta ngoma yao moja inaitwa kukurukakara zako! naipataje hiyo mkuu?
Hiyo track ilikua ya Sos B sidhani kama KU Crew walikua na nyimbo yenye jina hilo labda mimi sijawahi isikia wengine wataleta majibu nadhani..

Link:
 
Hiyo track ilikua ya Sos B sidhani kama KU Crew walikua na nyimbo yenye jina hilo labda mimi sijawahi isikia wengine wataleta majibu nadhani..

Link:

Dah ahsante sana mkuu, nimeitafuta ngoma hii kwa muda mrefu bila mafanikio! Kongole za kutosha!
 
Dah ahsante sana mkuu, nimeitafuta ngoma hii kwa muda mrefu bila mafanikio! Kongole za kutosha!
Usijali mkuu tena hiyo ni remastered ngoja nikutafutie ile OG yenyew version ya kwanza ingawa haina quality nzuri.
 
Usijali mkuu tena hiyo ni remastered ngoja nikutafutie ile OG yenyew version ya kwanza ingawa haina quality nzuri.
Itakuwa njema sana mkuu..kwenye gallery za watu wengi hawana vitu kama hivi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom