Kutazama Series ya kihindi yataka moyo sana

Kutazama Series ya kihindi yataka moyo sana

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
Yaani series zao hazitofautiani sana na Movie za kibongo hasa
katika sehemu ya Kurefusha makusudi. Yaani inakuwa ndefu mpaka
unakosa hamu ya kutazama. Hivi mnawezaje kuziangalia hizi???!!!
 
Ngoja wenzako waje
Mkuu nilikuwa sijawahi kutizama hizi za Kihindi
nilishazoea 24, NIKITA, IRIS, PRISON BREAK sasa hizi za kihindi
yaani nawasifu sana hao Wenzako
 
Mkuu nilikuwa sijawahi kutizama hizi za Kihindi
nilishazoea 24, NIKITA, IRIS, PRISON BREAK sasa hizi za kihindi
yaani nawasifu sana hao Wenzako
budget. usifananishe series zinazotumia Hadi trilioni au mamia ya bilioni na series zinazotegemea matangazo ya kudunduliza.

hizo za kihindi zinarefushwa ili ziwe na episode nyingi ili kila episode waonyeshe matangazo. hayo matangazo ndio yanaingiza hela ya kuendesha production, kutokana na budget ndogo na quality nayo inakuwa ndogo.

Halafu pia wahindi wengi hawajui kihindi ni around milioni 400 hadi 500 kati ya 1.3b ndio wanajua kihindi, hivyo watazamaji ni wachache tofauti na nchi kama China au Hollywood hawa wana watazamaji wengi (English na mandarin zinaongelewa na watu wengi sana)
 
Korean Drama Ndio Dunia Kaka Ukitaka Za Kijijini Au Za Town Unavyotaka Wewe Ila Mimi Napenda Zile Za Bush Historical Drama
 
hiyo ninayo nimeangalia episode moja karibu wiki mzima yani nikiweka nikiangalia kidogo naacha,huwa labda nitaangalia siku nikikosa kabisa nyingine kabisa za kuangalia,saivi namalizia grand prince
Final Epsode 800
 
Kuna moja ipo hadi sehemu ya 1500.

Sijui unaimalizaje!?
 
Ktk movie industry kufikia viwango vya wamarekani tena zile za holiwudi nchi nyingi zinasubiri
 
Back
Top Bottom