Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Kuna wimbo uliimbwa zamani kidogo na msanii wa bongo simkumbuki lakini alikua na rasi.
Unaimbwa hivi..hoo baby zimbaa,zimbaaa hoo baby zimbakalanyo.
Nahisi kuna kitu unataka kunieleza lakini unasita,kukutana kwa macho kusikuogopeshe,hoo baby zimbaa
Msaada wakuu hii nyimbo inaitwaje na kaimba nani