Balozi Mbumbumbu JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 405 Reaction score 358 Jul 15, 2018 #1 Asante Kante,mchango wako katika dakika 45 hautasahaulika.Nenda na njano ila NYEUSI yako rangi itawachoma milele.
Asante Kante,mchango wako katika dakika 45 hautasahaulika.Nenda na njano ila NYEUSI yako rangi itawachoma milele.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,008 Reaction score 165,551 Jul 15, 2018 #2 Huyu Paul Pogba ni Mnyiha kabisa wa Kamsamba
Paz3i JF-Expert Member Joined Oct 11, 2014 Posts 1,040 Reaction score 1,529 Jul 15, 2018 #3 La boss 19yrs mbappe talented boy
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,883 Reaction score 13,631 Jul 15, 2018 #4 Wazungu huwa wanajitahd sana kumficha mtu mweusi asionekane...lkn kwa uwezo was Mungu bado mtu mweusi anamchango kwenye kila angle ya Dunia hii!
Wazungu huwa wanajitahd sana kumficha mtu mweusi asionekane...lkn kwa uwezo was Mungu bado mtu mweusi anamchango kwenye kila angle ya Dunia hii!
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,791 Reaction score 10,415 Jul 16, 2018 #5 Mtaalamu Matuidi mimi nafikiri hanaga bahati huyu jamaa maana anajua sana lakini naona heshima anayopewa ni ndogo mnooo
Mtaalamu Matuidi mimi nafikiri hanaga bahati huyu jamaa maana anajua sana lakini naona heshima anayopewa ni ndogo mnooo