Kwa wana forum wote!

Kwa wana forum wote!

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
2,734
Reaction score
1,781
Habari za hapa jamvini,
Naombeni yeyote mwenye wimbo wa Jastin Kalikawe unaosema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako mwenyewe" aniwekee hapa.]

Nawasilisha.
 
😀Napata mashaka kidogo kwa wimbo huo kuhitajiwa hasa kwa wakati huu
Anyways ukiwepo watakupatia.
 
Ngoja waje WENYE NAO. Yule ngumi nahisi alikuwa kabla ya haya masimu kuezea. Kuna kaka zangu 1990s walikuwaga machimbo mpepo, wakibongoa wanatinga Mahindi ya chuichui na REDIO atach, hapo wanazunguka mitaa yote na hizo ngoma za Jastine+luck dume, Ziggy mally nk. Walienjoy sana. Wakiishiwa wanauza Nguo ili kupata nauli wana kwenda zao. Wk tena Hawa hapa!! Ila dah wengi hawapo sasa.
 
Back
Top Bottom