GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,069
- 1,654
Baada ya kufanya hit song na Ben pol, ungependa afanye collabo na nani?
na khadija kopa maana msanii anaye tikisa sasa hivi Leila rashidi yuko ziarani UK kwenye tuzo za bet
Ally Kiba...
Leoshule zinafunguliwa lini?
unataka kumpoteza class weweAlly Kiba...
shule zinafunguliwa lini?
Wamefungua leo ndio wanarudisha simu kwa wazazshule zinafunguliwa lini?
Wanarudisha simu sio laini mkuuWamefungua leo ndio wanarudisha simu kwa wazaz
Wamefungua leo ndio wanarudisha simu kwa wazaz
hahahaWamefungua leo ndio wanarudisha simu kwa wazaz
Mkuu mm nimeongeleaa kurudisha simu but tupo pamojaWanarudisha simu sio laini mkuu
Sijui kama kuna simu ya shule ambayo ni ya kuslide au ina jf ndani hata st marry na st fransiss hawana simu kubwa simu zao ni kamaa hiimimi natumia simu ya shule
Daah wazee walimu wenu hawafundishagi spellings ama?kama khadija kopa hana nafasi tumuunganishie snura au vp
Huyo Leila rashid Ndio Nanina khadija kopa maana msanii anaye tikisa sasa hivi Leila rashidi yuko ziarani UK kwenye tuzo za bet
Yeah ndo huyoHuyo Leila rashid Ndio Nani
baada ya kufanya hit song na ben pol,ungependa afanye collabo na nani?[/
chibu