Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Kuna wimbo wa 20% sijalijua jina lake bado,
Ila anaanza kuimba maneno Haya
"Nimeajiriwa Kwenye ajira niliyojiajiri,
Na nasifiwa utendaji wangu wa kazi ni mzuri ..."
Kisha churus yake anaimba Hivi,
"Ukifikiria aaaaah inauma,
Ukiangalia aaaaah inachoma ..."
------
Wimbo una MAUDHUI mazuri,
Na melody NZURI.
Kwa ambaye anao huu wimbo naomba anisaidie,
Aliye nao akomenti,
Nitam_PM namba ya whatsapp.
Ahsanteni sana.