Baada ya Ngwair ni One incredible na Nick mbish.

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,191
Hakuna msanii anaweza kuwashinda hawa jamaa kwa michano na free style ni wakali sana hata kwa kuwasikiliza huwezi kujutia bahat yao mbaya watanzania hatuupi mziki wa hip hop kiapaumbele one mzee vina mwanzo kati mwisho.

Kidogo anaweza kusogea godzilla nae masifa yamempoteza mwanzo alikuwa anakuja vizur sana hapa hamna cha mwamba wa kaskazini wala ngosha.
 
chid benzi ni mkali sema tu ana stress za maisha ambayo ajatalajia,kulogwa na madawa ya kulevya.
 
sorry niende nje ya mada kidogo!
hivi huyo One incredible bado yupo na Grace matata au alikuwa anamtumia tu binti wa watu?
 
One hakuna kitu kwenye freestyle lakini kwa uandishi bado sijaona anaefika kwake. Nikki mbishi ni baba yao kwa freestyle, pia Godzilla japo naye stress za mbunye zinamchanganya, pia wapo wengi kama Cliff Mitindo, kuna dogo anaitwa Mkristo pia.
 
Natafuta ngoma kali za hiphop hardcore zaidi ya ngumu kama vile:
F.D.C
LWP MAZIMWI
HARDCORE UNIT
PURE BLACK(piggyblack)
Nyimbo nyingi zilichezwa na D.J J.D katika the heat cha radioone miaka ya 98/2000
 
Back
Top Bottom