NEW MISS TANZANIA 2018 SPECIAL THREAD

NEW MISS TANZANIA 2018 SPECIAL THREAD

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
47,775
Reaction score
257,515
IMG_20180714_133202_308.jpg

ZIFAHAMU SIFA ZA WASHIRIKI MISS TANZANIA KWA MWAKA HUU.

Washiriki wote katika ngazi zote za mashindano watakuwa wasichana tu wenye Sifa zifuatazo; umri wa kati ya miaka 18 hadi miaka 24(mshiriki aambatanishe cheti chake cha kuzaliwa)
Awe RAIA wa Tanzania
Awe na ufahamu wa kutosha
Awe na uwezo wa kujieleza
Asiwe ameolewa na asiwe na Mtoto
Asiwe mwanafunzi wa shule ya msingi au sekondari
Awe na nidhamu
Awe na elimu kuanzia kidato cha NNE na kuendelea
Asiwe amewahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania ktk ngazi yoyote zaidi ya Mara moja ktk mwaka husika

UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJamii
MissTanzania2018
 
Attachments

  • IMG_20180714_133202_308.jpg
    IMG_20180714_133202_308.jpg
    16.9 KB · Views: 95
kama mnahitaji sponsors wa uhakika.. mtafuteni ruge mutahaba ila mjiandae kugawana nae mapato.. mkijifanya mnafanya wenyewe mtakosa hata hela ya zawadi ndogo kama kile kigari chenye matangazo kama bango.. kilichozua zengwe kwa lundenga
 
Kila kitu kiko byeeeee. Labda huku kwenye ngazi za chini ila taifa wanasubiri siku tu
 
Washindi wa Miss Dodoma, watakaoshiriki miss Tanzania 2018

35001559_1712920752138638_1566369002278617088_n.jpg
 
kama mnahitaji sponsors wa uhakika.. mtafuteni ruge mutahaba ila mjiandae kugawana nae mapato.. mkijifanya mnafanya wenyewe mtakosa hata hela ya zawadi ndogo kama kile kigari chenye matangazo kama bango.. kilichozua zengwe kwa lundenga
Naona wamejipanga kwa sasa.....
 
Mashindano yamepoteza umaarufu sn miaka ya karibuni hata mabinti wamekuwa hawajitokezi km zamani
 
Lundenga alishatoka mbona?? Yako chini ya Basilla Mwanukuzi sasa hivi

basila hana uwezo wa burudani na ujanja wa kusaka sponsors kumzidi ruge.

ruge hata sponsor wakichelewesha hela ana uwezo wa kununua zawadi mwenyewe
 
Utapeli, ubabaishaji, uwongo, na uhuni wa waandaji ndivyo vikivyosababisha mashindano ya miss tanzania kupoteza mvuto na heshima yake.
Uhuni wa kutoa zawadi tofauti Na zilizotangazwa, kuna mwaka Ocean Sandal ndio walikuwa wadhamini wakuu wa miss Tanzania, walionyesha nyumba nzuri sana kama zawadi kwa mrembo atakaye shinda taji, matokeo yake, wakaenda kumpa nyumba chakavu na ya hovyo kabisa.
Kupanga matokeo na waandaaji kushirikiana na warembo kudanganya umri kwa maslahi fulani fulani.
Rushwa za ngono.
Ukiwadi wa warembo kwa wafanyabiashara matajiri
Na mapungufu mengine mengi
 
Back
Top Bottom