Tupia jina la movie ya kichina sterling ana nywele moja hapa..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,689
106,812
Wakuu!
Kuna ile staili ya wachina wanashevu nywele mbele then nywele za nyuma wanazisuka zinakua kama nywele moja!
Basi naomba tu share movie yoyote ile ambayo wameweka nywele kwa style hiyo.. Hua nzuri sana zina mkono wa kufa mtu na story nzuri.
Starting with...
  • Fearless
  • Iron monkey
  • First of legend
  • Forbidden kingdom
  • 14 blades
  • 36 chambers of shaolin
  • Bodyguard vs Assasins
  • Hero
  • Fong-sai-yuk
  • Once upon time in china
  • Flying Daggers
Tiririkeni....
Cc

 
  • Shaolin Temple
  • Tai Chi Master
  • My Father Is a Hero
  • Drunken Master
  • The monkey king
  • Crouching Tiger, Hidden Dragon
 
Ya Baba Jesca na Sharo wa Kolomije si ya Kichina lakini makarate yake si ya kitoto.
 
Back
Top Bottom