Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimeamua ku post katika jukwaa hili nikiamini itawafikia watu wengi, naomba kujua maana ya huu wimbo wa injili ulioimbwa na mwimbaji wa injili kutoka CONGO Moise Mbiye unaojulikana kama "Tanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nawasilisha App hii ya Music ambayo itawezesha upatikanaji wa nyimbo za maudhui tofauti tofauti DOWNLOAD HAPA . Application hii ni kwa watumiaji wa simu zinazo support Android tu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
New Video: ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy – Mwambie Sina - SYLI CLASSIC MUSIC
1 Reactions
5 Replies
10K Views
Wale wa kishua tukutane hapa wale wapenzi wa disney ni show ipi ilikuteka mimi ni hizi 1.good lucky charlie..Brigit mendler sasa ni pop star mkubwa 2.hannah montana..miley cyrus sasa ni pop star...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Audio: Alikiba X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy – Mwambie Sina - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
2 Replies
31K Views
Audio: Christina Shusho – Mwanangu - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Its Rostam Baby Kaolewa(Enhee) Na nani kaolewa Wanasema haolewi (KAOLEWA) Makubwaaa Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii (Kill Bea Bea) Aaaahaa Mwajuma gani? Yule mtoto wa mkunga...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani mimi ninanvyo ona ni kama ile amshaamsha ya Tamasha la fiesta inazidi kupoa kila mwaka. Nimejaribu kuangalia katika mitandao ili nisome comment za mashabiki, lakini naona hata wanaotoa...
0 Reactions
3 Replies
620 Views
Toka fiesta ianze !! Kuna wasanii gani umeona wamo kila mwaka? Yupi katoka? Nani kaingia ? Kumbka tumefikia kwenye nyapo nzuri tu "Mimi......naapa kuleta Vibe Kama loteeeeeeee√√√
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,Kwa wale wenzangu na Mimi wapenzi wa drama,katika kuangalia kwangu drama nyingi hatimae nimeamua kuweka top 15,ya drama ambazo nazipenda mno Hautojuta kuangalia drama hizi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Audio: Kassim Mganga – Silipizi - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Audio: Adam Mchomvu – Masai Swagg - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
2K Views
New Video: Kassim Mganga – Silipizi - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
samahani sana wakuu,lenovo tablet inauzwa kwa bei nafuu kabisaa,sifa zake ni hizi android version 4.4.2 cpu 4 core 1.3GHZ RAM 1GB INTERNAL MEMORY 16GB MODEL NUMBER: LENOVO TAB 2 A7-30H BEI NI LAKI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Itakuwa siku ya tarehe 7/10/2018 katika uwanja wa Samora mjini Iringa ambapo wanasiasa nguli Salum Hapi, Kasesela na mchungaji Msigwa wanatarajiwa kuwaongoza wananchi wa mkoa huo katika tamasha la...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo nimewaambia pesa nilizoshinda tatu mzuka wazichukue maana nimeshachoka na sms zao
0 Reactions
4 Replies
819 Views
Tumekuwa tukishuhudia matangazo mengi ya runinga mbali mbali duniani yakiweka alama ya "live" kuashiria kuwa ni matangazo ya moja kwa moja.Lakini jambo hili limekuwa gum mno kwa Azam TV hasa pale...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom