"I will never say goobye"

"I will never say goobye"

Kitokombe

Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
69
Reaction score
22
Wana jf hilo ni jina la tamthilia ambayo naitafuta,kwa yyt mwenye ufaham nayo na anajua inapopatikana anijuze.tamthilia hiyo ilikuwa ikioneshwa TBC 1 Miaka ya 2008_2009. Na ilikuwa imetafsiriwa kwa lugha ya kiswahi saafi. Kwa yyt anaejua inapopatikana basi anijuze.
 
Nayoijua mimi ni nyingine nini hiyo ni ya kifilipino kuna characters kama juan fransisco, mark au siyo hyo?
 
Back
Top Bottom