Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,012
Sikuhizi nimekuwa mpenzi sana wa "seasons" za vichekesho
Zinaniondolea sana Stress. Kuna za karibuni za zingine za zamani. Naomba tujuzane zile nzurinzuri ili tuendelee kutoa stress.
1.Orange is a new black. Hii inahusu maisha ya wanawake jela. Ndiyo nimeanza kuicheki, iko poa sana.
2.Angie Tribeca. Hii ni ya kipolisi ni nzuri.
3.Brookyln nine nine. hii nayo ni ya kipolisi ndiyo nimeanza kuicheki, iko poa.
4.Unbrakable kimmy Shmidt.
5.The office. hii ni ya zamani kidogo kidogo ila ni nzuri sana.
6. Parks and recreation. Hii ipo kama the office.
Tujuzane zile kalikali.