Naomba support ya muziki wangu

Naomba support ya muziki wangu

ChuseMpole

New Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu jamani? Naitwa Chuse , me ni msanii chipukizi ambae nafanya mziki wa hip hop. Nahtaj msaada wenu ili kufikia malengo ndg zangu! Video yangu ipo YOUTUBE tayari naomba ridhaa yenu ili niweze kushare link nanyi ndg zangu.
 
Sasa link ipo wapi mkuu?? Umetumia lugha nzuri inaonekana unanidhamu..... Ilete link hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom