King Saha na Weasel ni zaidi ya Radio

King Saha na Weasel ni zaidi ya Radio

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,842
Wakuu mtakumbuka yule muimbaji wa Uganda wa Radio and Weasel alifariki baada ya kushambuliwa na baunsa. Sasa naona mbadala wake umepatikana ambao ni chemistry moja hatari mno maana huu wimbo wao mpya wa 'mpa love' ni shida sana na kama wataendelea hivi basi kazi itaonekana.
 
sikiliza very well na biribiri halafu ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom