Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

New Video: Mr Nice – Tuvumiliane - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
834 Views
New Video: Otile Brown Ft. Aslay – Nikupe Nini - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama Inavyojulikana Kwa dunia ya sasa vipaji (talent) imekuwa nguzo muhimi kuwaondoa vijana wengi kweny Lindi la umaskini. Kila mtu ni shuhuda jinsi watu wenye talanta zao wanavyotengeneza pesa...
0 Reactions
5 Replies
773 Views
Major Lazer wameachia wimbo mwingine uitwao “Tied Up” wakimshirikisha staa wa Nigeria, Mr. Eazi pamoja na Raye. Video ya wimbo huu ni ya tatu katika ushirikiano wa Major Lazer na muongozaji wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuanzia Sultan, njoo Jamai Raja, na zingine kedekede aisee hao wanaotafsiri duuuu wapo vizuri sana. Kama wangeweza ku act hvyo sambamba na maneno yao kama hayo wanaotafsiri nadhani filamu za...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Naombeni jamani mwenye movie hii ya kikenya inayoitwa "rafiki". Naona imepata promo sana I wish nami niione hivyo mwenye link ya kudownload au njia yoyote naomba. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Hawa jamaa nilianza kuwasikia first kwenye ngoma yao inaitwa carola ila kama sikuwaelewa hivi. Ila hii ngoma yao ya passenger, kwakweli imenibamba, hususan pale mwisho jamaa...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Katika vitu vichache ambavyo mtu huenjoy sana katika nyakati mbalimbali kama wakati wa furaha, mapumziko,huzuni,mawazo na kadhalika; mziki umechukua nafasi kubwa sana katika maisha ya binadamu...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
Waziri sonyo mhina panduka Maiko liloko Enduru sekedia kofi wa Tanzania nk hebu jamani tujuzane wapo kweli kwenye game?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya nyimbo za TOT band ambazo zilikuwa kwenye album yao ya kwanza na ya pili ambazo nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu sana.Nafikiri ndani ya JF haliharibiki neno na nina imani...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Habar waungwana....! Nayakumbuka baadhi ya maneno yake" Costa wangau baba, unihurumie,.....kama ni watoto fika kwangu Costa, utawaona utawaona, na sasa nilikalaga na wewe bila ya kuleta ma..." Ni...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Nimetokea kumhusudu huyu mrembo. sipatii picha mauno yake kitandani...nimeicheza hii vidieo mara zote kisa huyu mrembo Anayejua jina lake na adress tujuzane.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
New Video: Best Naso Ft. Gigy Money – UTABAMBA - SYLI CLASSIC MUSIC
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nadhani mnaona timu yetu na yenu inavyofanya tuache maneno mtaani na mtandaoni kwa sasa umefika wakati wa Man u isitulete hadithi za esopo,ekaya za abuasi,karume alikataa kwenda shule...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
New Video: Rich Mavoko – Naogopa - SYLI CLASSIC MUSIC
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani ukiachana na pesa basi kitu kinachofuata kukipenda ni muziki wa dansi. Leo nimekuletea wimbo mpya kabisa wa fundi Fally Ipupa aliotoa mwaka huu 2018. Katika wimbo huu linapigwa sebene lile...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
It Speaks for Itself...
9 Reactions
332 Replies
13K Views
Kundi na couple maarafu East Africa Navy Kenzo baada ya kimya kirefu wakilea mtoto wao wamerudi na kutoa ngoma Kali wakimshirikisha mkali Diamond platnumz Enjoy
7 Reactions
72 Replies
12K Views
Una huu mstari Ni buzz 2 double 7 six nine zero .... wananiita Solo thang aka "Non Reachable" Mistari mingine hii : piga namba hii popote uliza Solo Ila kama kimeo usipige, kwani mgogoro Hata...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom