Wale wa kishua tukutane hapa wale wapenzi wa disney ni show ipi ilikuteka mimi ni hizi
1.good lucky charlie..Brigit mendler sasa ni pop star mkubwa
2.hannah montana..miley cyrus sasa ni pop star...
Jamani mimi ninanvyo ona ni kama ile amshaamsha ya Tamasha la fiesta inazidi kupoa kila mwaka. Nimejaribu kuangalia katika mitandao ili nisome comment za mashabiki, lakini naona hata wanaotoa...
Habari zenu wakuu,Kwa wale wenzangu na Mimi wapenzi wa drama,katika kuangalia kwangu drama nyingi hatimae nimeamua kuweka top 15,ya drama ambazo nazipenda mno
Hautojuta kuangalia drama hizi...
samahani sana wakuu,lenovo tablet inauzwa kwa bei nafuu kabisaa,sifa zake ni hizi
android version 4.4.2
cpu 4 core 1.3GHZ
RAM 1GB
INTERNAL MEMORY 16GB
MODEL NUMBER: LENOVO TAB 2 A7-30H
BEI NI LAKI...
Itakuwa siku ya tarehe 7/10/2018 katika uwanja wa Samora mjini Iringa ambapo wanasiasa nguli Salum Hapi, Kasesela na mchungaji Msigwa wanatarajiwa kuwaongoza wananchi wa mkoa huo katika tamasha la...
Tumekuwa tukishuhudia matangazo mengi ya runinga mbali mbali duniani yakiweka alama ya "live" kuashiria kuwa ni matangazo ya moja kwa moja.Lakini jambo hili limekuwa gum mno kwa Azam TV hasa pale...
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogokidogo alianza kupoteza urembo wake.
Mume alipata safari na wakati akirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.