Ni lini hawa watu wataacha kuvamia show za kibongo kwenye mastage?

usiambini

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
627
558
Hali zenu ndugu zetu.?
Ni lini show za kibongo wataacha kuvamia mastage hawa watu wanofata?
1. Mabaunsa
2.Camera men
3.Wapambe
Nikicheck show za mbele stage inakua free na msanii anakua huru kuperform
drake-and-jay-z-1464693068-view-0.jpg
dudu.jpg
 
Back
Top Bottom