Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 210
Wadau,
Nimefikiria biashara flani hivi kwamba iwe kama FUNCTION flani lakini ilete mafao, nimefikiria kuiita NYAMA CHOMA FESTIVAL ambayo nafikiria iweze kufanyika eneo lililo wazi hivi, pawepo na vinywaji na bites na nyama choma lakini vyote hivi viwe vinauzwa kwa watakao hudhuria.
Inawezekena maelezo hayajajitosheleza lakini kwa namna flani naweza kuwa nimeeleweka.
Wadau naombeni mawazo jinsi ya kuboresha wazo hili na then kuliweka ktk practice. (Tafadhari zingatia gharama nafuu ya maandalizi)
Natanguliza shukurani.