Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 750
- 1,327
Msaada wadau....... kuna nyimbo ya kisukuma huchezwa sana kwenye maharusi huku watu wakitikisa mabega huku wakishuka chini........
Moja maneno ninayo ya kumbuka ni pamoja na
"..........funyagi mahwele anyango........"
Anayeufahamu vizuri..... jina la msanii....jina la wimbo......hata akiuweka hapa itakuweka hapa au link yake itakuwa vizuri zaidi
Asante