1. Lady Gaga & Bradley Cooper- Shallow
2. Calvin Harris ft Sam Smith- Promises
3. Marshmello ft Bastille- Happier
4. Rita Ora- Let you love me
5. Little Mix ft Nicki Minaj- Woman like me
6. Dua...
Only Club Legend unapata entertainment to the maximum. Serious music with serious Djs from oldies to new skool.
Nipo na enjoy kinoma hapa. Karibuni sana ukutane na Dj JD and Dj Richie Dillion...
Wakuu mtakumbuka yule muimbaji wa Uganda wa Radio and Weasel alifariki baada ya kushambuliwa na baunsa. Sasa naona mbadala wake umepatikana ambao ni chemistry moja hatari mno maana huu wimbo wao...
01
“Jamani leo natangaza rasmi….” alisikika jamaa mmoja akiwaambia wenzake.
“Tangaza…” wenzake walisema huku wakicheka.
“Kuanzia leo kwa hapa chuo, hakuna demu mkali kama yule Msukuma…” alisema...
Sikuhizi nimekuwa mpenzi sana wa "seasons" za vichekesho
Zinaniondolea sana Stress. Kuna za karibuni za zingine za zamani. Naomba tujuzane zile nzurinzuri ili tuendelee kutoa stress.
1.Orange is...
Haya sasa kuna wale wapenzi wa moves mbalimbali lakini wamekuwa wakipata utata kupata movie hizo sasa hapa unaweza kuomba na ku download movie yoyote unayohitaji kwa mtu kukupatia link ya movie ilipo
Sina lengo la kuharibu biashara yako au kukuanika lengo langu ni kukupa pongezi kwa ujasiria mali unaoufanya .
Hakika unauza saana CD za zilizozitafsiri kwa Lugha ya kiswahili na sasa unaonekana...
Muda wa kusubiri ujio wa album ya mnyama, lil wayne 'The carter V' umefikia ukomo..
Je ataweza kututeka tena mashabiki kama enzi zake alivyokua hot? Swali hili litapata jibu 21st September 2018...
Miaka ile kama hujapata sh 20 ya kuingia banda la video basi siku yako haijatimia..! Sie wengine tuliokuwa hatuna pesa hivyo tulikuwa tunaresolve kuchungulia kwenye madirisha or vitundu...
Nautafuta sana ule wimbo wa Soundtrack katika kipindi cha Mwanadada Loveness Love DIVA wa Clouds Fm unaitwaje?
Mwenye nao anitumie au aniTagg jina la wimbo niuDownload.
Hellow bosess.
Kwa wale wapenzi wa raggae tukutana hapa tushirikishane 'Best rock raggae'
LETS START
Lucky dube -
..reggae in the bathroom
Reggae in the bedroom
Reggae everywhere
Reggae in jail...
Habari zenu wana fb. TANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, JANA NILIDONDOSHA WALET NDANI INA DRIVING LICENCE MBILI (2), KITAMBULISHO CHA TAIFA PAMOJA NA KITAMBULISHO CHANGU CHA KAZI (TECHNICIAN)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.