Msaada jamani kwa mtu mwenye hizi nyimbo za zamani

jay-mc

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
245
142
1.nuruel tumeagizwa upendo
2.rudi ya rogers lukas
3.wachuja nafaka nyimbo inaiywa wachujanafaka plz jamani zitupieni hapa na kama na kunamtu nae anatafuta nyimbo andike na mm ntamsaidia kuweka hapa hapa
 
Mimi natafuta nyimbo ya jamaa flani ana asili ya kichina ameimba hivi
Usilie uzuri wako utapata mwingine mzuri kunishinda, ninakupenda na wewe wanipenda mola nipe mwingine mzuri kunishinda.
 
Mimi natafuta nyimbo ya jamaa flani ana asili ya kichina ameimba hivi
Usilie uzuri wako utapata mwingine mzuri kunishinda, ninakupenda na wewe wanipenda mola nipe mwingine mzuri kunishinda.
Heheeh polee
 
Msaada kuna nyimbo flan ya kitambo msani wa nje ya nchi aliimba akisifia kisiwa cha zanzibar,
 
Mimi natafuta nyimbo ya jamaa flani ana asili ya kichina ameimba hivi
Usilie uzuri wako utapata mwingine mzuri kunishinda, ninakupenda na wewe wanipenda mola nipe mwingine mzuri kunishinda.
Mi pia nausaka huu wimbo ila sijui hata alouimba
 
Zilipendwa timu.....jojina jojinaaa.....jojina wa mama....umeondoka umeniachia masikitikooo.....ckumbuki nan kaimba....
 
B boy - sina dem
Adili - peke yangu
Waswahili asili - pengo
Solo thang - nakuwaza
Soggy doggy - Nilikaona
Parklane - hoo
Samir - kupenda
Man dojo &Domo - nikupe
Farida - pesa
Space girl - sina hali
Dudubaya - mpenzi
Dudubaya - nidhamu
Dudubaya - nakupenda tu
Dudubaya - mpangaji
Sugu - mikononi mwa polisi
Wachuja nafaka - kamua
Solo thang - dunia tunapita
Prof jay - jina langu
Kalapina - mstari wa mbele
Afande sele - kama nitapata ukimwi
Yp & Y dash - ulipenda pesa
Jebi - wanapagawa
Q chief - my boo
Chid benz - jiachie
Tunda man - neila
Bwana misosi - mabinti wa kitanga
Matonya - uaminifu
Mwana f.a - ingekuwa vipi
Mike tee - nakupenda
Juma nature - inaniuma sana
Sister p - dj
Sister p - achana nao
Tmk wanaume - ndio zetu
East coast - ama zangu ama zao
Ay ft Snare - raha tu rmx
Mr. Blue - kiss kiss
Mr. Blue - sema
Mr. Blue - tilalila
Mr. Nice - nakuita
Mr. Nice - mama
Mr. Nice - fagilia
Mr.Paul ft Babu - dola kumi
Joslin - mshkaji mmoja hivi
Chegge - nenda
Ray c - milele

Mwenye hizi ngoma aweke tuburudike.
 
Usiku usiingie - Mr Zumo
Niokowe - Chilli galz (Uganda)
Kwa mwenye nazo tafadhali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom