Notorious B.I.G story

NAS1314

Member
Nov 29, 2017
19
7
Christopher George Latore Wallace (anajulikana kama Biggie Smalls, jina la jambazi la kwenye filamu ya mwaka wa 1975 ya Let's Do It Again, "The Black Frank White", jina la mwuza madawa ya kulevya katika filamu ya mwaka wa 1990 King of New York),[1] na hasa kwa jina la kisanii The Notorious B.I.G.; 21 Mei 1972 – 9 Machi 1997) alikuwa rapa kutoka nchini Marekani.

The Notorious B.I.G.
Graffiti portrait of The Notorious B.I.G. in Queens, NY
Graffiti portrait of The Notorious B.I.G. in Queens, NY
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
Christopher George Latore Wallace
Amezaliwa
Mei 21, 1972
New York City, New York, United States
Amekufa
9 Machi 1997 (umri 24)
Los Angeles, California, United States
Aina ya muziki
Hip hop[
Kazi yake
Rapa, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi
Miaka ya kazi
1992–1997
Studio
Bad Boy
Ame/Wameshirikiana na
Sean Combs, Method Man, Junior M.A.F.I.A., Total, 112, The Commission
Tovuti
www.badboyonline.com/notoriousbig
Alikulia Brooklyn, mji wa New York City, Wallace amekua kwenye kipindi cha matatizo ya uigaji tabia chafu kwenye miaka ya 1980, hivyo basi akaanza kujishughulisha na uuzaji haramu wa dawa za kulevya akiwa bado bwana mdogo kabisa. Wakati Wallace ametoa albamu yake ya kwanza yenye jina la rekodi ya mwaka 1994 Ready to Die, alikuwa umbo la kati kwenye uwanja wa East Coast hip hop na kuongeza mwonekano wa New York kwa kipindi hicho wakati wasanii wa West Coast tayari wamekuwa maarufu kwenye nyanja kuu za hip hop kitambo. Mwaka uliofuatia, Wallace akaongoza marafiki zake wa utotoni hadi kwenye mafanikio ya kichati kupitia kundi la wafuasi wake la Junior M.A.F.I.A.. Wakati anarekodi albamu yake ya pili, Wallace alijishughulisha sana na masuala ya kigomvi ya East Coast-West Coast, ilitawala katika uwanja wa hip hop kwa kipindi hicho.

Mnamo tar. 9 Machi 1997, Wallace aliuawa na watu wasiojulikana wakati anaendesha gari huko mjini Los Angeles. Seti yake ya diski mbili ya Life After Death, ilitolewa baada ya siku kumi na tatu baadaye, imegonga nafasi ya kwanza #1 kwenye chati za albamu nchini Marekani na kutunukiwa Almasi mnamo mwaka wa 2000.[2] Wallace alitambulika sana kwa staili yake ya "kujiachia, anachana taratibu", uwezo wa kimashairi yanayoeleza tawasifu kimtindo. Tangu kifo chake, albamu mbili zaidi zilitolewa. MTV wamweka nafasi ya #3 kwenye orodha yao ya Ma-MC Wakali wa Muda Wote.[3]

Yaliyomo
Maisha ya awali Edit
Alizazaliwa kwenye Hospitali ya Mt. Mary, ingawa inadaiwa kwamba alikulia mjini Bedford-Stuyvesant sehemu ya Brooklyn, nyumba ambayo Wallace alikulia ipo karibu na Clinton Hill.[4] Wallace alikuwa mtoto pekee wa Voletta Wallace, mwalimu wa shule ya vidudu mwenye asili ya Jamaika, na George Latore, fundi wa kuchomelea na mwanasiasa wa muda mfupi wa Kijamaika. Baba'ke ameiacha familia wakati Wallace akiwa na umri wa miaka miwili, amemwacha mama'ke akifanya kazi mbilimbili ili aweze kumkuza mwanawe. akiwa katika shule ya Queen of All Saints Middle School, Wallace amefukuzwa darasani, ameshinda matuzo kadha wa kadha akiwa kama mwanafunzi bora wa somo la Kiingereza. He was nicknamed "Big" because of his size before he turned 10-years-old.[5] Akiwa na umri wa miaka 12, akaanza kuuza dawa za kulevya. Mama'ke, marakwamara anakuwa yu kazini, hakutambua suala la uuzaji wa dawa za kulevya hadi Wallace alipokuwa mtu mzima.[6]

Wallace akahamishia katika shule ya kulipia ya Romani Katoliki ambayo alihitimia hapo, kwa hiari yake, ameomba kujiunga na shule ya George Westinghouse Information Technology High School. Jay-Z na Busta Rhymes nao walikuwa wanafunzi wa shule hiyo pia. Kwa mujibu wa mama'ke, Wallace bado aliendelea kuwa mwanafunzi mzuri tu, lakini aliendeleza tabia zake za "ujanja wa matako" hadi katika shule mpya.[7] Akiwa na umri wa miaka 17, Wallace akaachilia mbali shule na kujihusisha zaidi na masuala ya kihalifu. Mwaka wa 1989, alitiwa mbaroni kwa kosa la umiliki wa silaha kinyume cha sheria huko mjini Brooklyn na kuhukumiwa kifungo cha nje kwa muda miaka mitano. Mwaka wa 1990, alitiwa tena nguvuni kwa kosa la kufanya fujo kwa kifungo chake cha nje. Mwaka mmoja baadaye, Wallace alitiwa tena nguvuni kwa kosa la kugushi dawa za kulevya huko mjini North Carolina. Ametumia takriban miezi tisa jela hadi hapo alipopata dhamana.

Diskografia Edit
Makala kuu: Diskografia ya The Notorious B.I.G.
Studio albamu Edit
1994: Ready to Die
1997: Life After Death
Albamu zilitolewa baada ya kifo chake Edit
1999: Born Again
2005: Duets: The Final Chapter
Albamu za ushirikiano Edit
1995: Conspiracy (with Junior M.A.F.I.A.)
Albamu za kompilesheni Edit
2007: Greatest Hits
2009: Notorious: Original Motion Picture Soundtrack

Story Writter:DPAC MC
A-261878-1452259247-5916.jpeg.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom