Kulikoni Tigo Fiesta na Wasafi Fiesta

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Wakati Tigo Fiesta wakifuta tamasha la mwaka huu huko Dar baada ya kuzuiwa kutumia uwanja wa Leaders Club huko Mtwara tamasha la Wasafi limehudhuriwa na viongozi wa serikali akiwemo naibu Waziri wa utamaduni na michezo.
 
Ruge anakubalika na Mkuu wa nchi wakati Wasafi wanakubalika na Naibu mkuu wa nchi hapo ndipo ilipo shida...."Get well soon" Ruge..
 
Back
Top Bottom