mchumihalisi
Member
- Oct 8, 2015
- 28
- 98
Yawezekana Clouds Media Group yashinda hii vita baada ya taarifa kuwepo kuwa Tigo Fiesta Dar es salaam inaenda mpaka Asubuhi licha ya RC wa DSM kusema kuwa iishe saa 7 usiku ambayo iko ndani ya sheria za nchi..! Hii maana yake Makonda kawashindwa Clouds?