Mimi ni yuleyule tuliyesoma wote kidato kimoja

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,672
Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchangua wewe ×2
Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia
Kukuoa inanibidi, kwa kila hali umenivutia

(CHORUS)
Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tuliosoma wote kidato kimoja ah ah ah ×2

Najua mtu halazimishwi kupenda, anapenda mwenyewe
Basi usinikuzishie kidonda wakati wajua dawa ni wewe ×2

Nitapata mimi au nitakosa, utanisononesha kama ukinitosa
Kiangazi hata mvua za masika
Nikikukosa jua nitawewesekaa ×2

(CHORUS)

Na amini unanikumbuka, hizo zara unaleta kama tunda limeshawiva tulibandua maganda
Nikilikumbuka tulipotoka mama wee, dada wee unanitesa sana
Mama wee, dada wee mbona unanichanganya

Yani wewe tumesubiri muendelezo wa simulizi ya SinBad. Aaagrrrr
 
Huwa unaleta post poa, ila sema majibu yako design kama unamzidi Mange kimambi. Hivo tu
 
Back
Top Bottom