Song la kufungia mwaka, King Monada- Malwedhe

Song la kufungia mwaka, King Monada- Malwedhe

Genta hili goma ni moto.. yaani Kuna sehemu kwenye kiitikio.. wadau wanajitupa chini!.. noma sana
 
Ushamba tuu ndio unaowasumbua wanaume wa dar mziki gani ucheze mpaka uanguke mambo ya misimu hayo.hili nalo nilakuliweka uonekane mjanja?
 
Hii nyimbo mwanaume kucheza huo upuuzi lazima uhusike kwenye list ya "dudu baya"
 
Back
Top Bottom