Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne.. Bongo hakutakuwa na muvi kama hizi tena

HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne zenye visa visivyochosha kutazama ,hakika ni muvi za karne bongo hawataweza kutengeneza muvi kama hizi teeeeeena.

Sultan Tamba na Musa Banzi rudini bhana mtuletee vitu vitamu kama hivi

Screenshot_2016-12-17-20-32-15_1.jpg

Screenshot_2016-12-17-20-32-49_1.jpg

Password

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
779
1,000
Daa naipenda sana Ile movie ya safari ya zamani sijui wameact pangoni kuna chiku na kaka ake sijui aitwa nani yule kaka
"CHIKU NA KAPIRI" hahaha waliokota hela zilizopukutika kwa yule mzee aliouwa wazazi wao afu wakawafukuza. nilicheka sana yule aliona hapatoshi dhuluma yote alioifanya imeenda bure.
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
6,151
2,000
Daa naipenda sana Ile movie ya safari ya zamani sijui wameact pangoni kuna chiku na kaka ake sijui aitwa nani yule kaka
Mkuu hiyo movie ni moja wapo ya filamu boraa kabisa za kitanzania kwa upande wangu mimi.

Ni ya Chiku na Kapiri.

Nilionaga part one tu baasi, nilishaitafuta sana part two lakin sijaipata, na nnashauku ya kujua iliishaje baada ya yule mme wa Chiku kushirikiana na mkewe kumuua Kapiri.

Asee naomba unisaidie namna ya kuweza kuipata.
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
6,151
2,000
"CHIKU NA KAPIRI" hahaha waliokota hela zilizopukutika kwa yule mzee aliouwa wazazi wao afu wakawafukuza. nilicheka sana yule aliona hapatoshi dhuluma yote alioifanya imeenda bure.
Niliipenda sana ile movie, inaonesha jinsi gani mwanaume anavyoweza kutumia udhaifu wa mwanamke kwa mbinu za hali ya juu hili aweze kumsaliti ndugu yake wa adamu walioteseka na kukua wote kwa shida na akatimiza adhima yake.

Na pia inaonesha unaweza kusalitiwa na ndugu lakin hekima,nidhamu,haiba vikakufanya jamii ikakurejeshea furaha.
 
HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Niliipenda sana ile movie, inaonesha jinsi gani mwanaume anavyoweza kutumia udhaifu wa mwanamke kwa mbinu za hali ya juu hili aweze kumsaliti ndugu yake wa adamu walioteseka na kukua wote kwa shida na akatimiza adhima yake.

Na pia inaonesha unaweza kusalitiwa na ndugu lakin hekima,nidhamu,haiba vikakufanya jamii ikakurejeshea furaha.
Chiku hakufahamu kuwa ile ilikuwa sumu , alidanganywa tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom