Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna habali nimekutana leo katika .kuperooz .hizi ndio bar zinazoongoza kuwa na wateja wengi vijana na wazee kuliko zingine..... 1.Corner bar...hii bar ipo sinza ndiyo bar inayoongoza kuwa na...
2 Reactions
248 Replies
71K Views
Nimezitafuta bila mafanikio hivyo nimekuja JF kwa wakongwe.Naomba msaada wa hizi nyimbo Old is good all the time
1 Reactions
26 Replies
14K Views
Baba wa Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba, Mzee Saleh Kiba amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zaidi za mipango ya...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Assume we una kete hizo nyekundu halafu zamu yako kucheza je unafanyaje kukwepa kupigwa supa? huu mchezo ni british hauna kula kwa nyuma
2 Reactions
30 Replies
6K Views
unajua maana ya mwanamke kiswaswadu? fuatilia filamu hii kali mwaka 2019 bofya link hapa
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Japo wamefungwa ila wanasonga mbele..tofauti na atletico wao wameaga mashindano Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
526 Views
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kizigo’, imeibomoa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa kuwachukua wanamuziki Kalala Junior na Khalid Chuma ‘Chokoraa’...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za Jioni wadau, Leo nawaletea mjadala unaendelea katika vyombo vya habari nchini Kenya. Yapata wiki sasa kumekuwepo na mjadala motomoto huko Kenya, wakijadili kutokucheza miziki ya wageni...
6 Reactions
60 Replies
10K Views
INASISIMUA NA KUTISHA ILA INAFUNDISHA Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu. Huku nyuma...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Napenda video zake zinafurahisha. Ni actual original videos Ila maneno sio original yaliyozungumzwa kwenye tukio. ni sauti na maneno ambayo yanapandikizwa kwa kuangalia matendo na midomo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanzoni nilivyoisikiliza, nikajua anamdiss video queen, Tunda. Baada ya kuusikiliza sana, nimekuja kuhisi ni kama anamdiss young dee hasa katika verse ya mwisho. Je wewe mdau, umeuelwaje wimbo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza huku jukwaani, nina ps 4 yangu haijahackiwa, nataka kununua game online, lakini nchi ya Tanzania haiko kwenye listi. naomba wajuzi wa mambo haya wanisaidie, ukunipa idea mm...
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Habari za siku nyingi wakuu wangu...Heri ya mwaka mpya.... Baada ya kipindi kirefu cha kutokuwa hewani leo nimeona tuanze awamu nyingine ya 'Enzi Hizo' ambapo tunapata fursa ya kuzikumbuka nyimbo...
0 Reactions
81 Replies
37K Views
Wakuu, heshima zenu...Naulizia chimbo ninaloweza kupata vinywaji na nyama choma DODOMA. Chimbo lilipo mitaa ya kati mjini au na maeno ya karibu. Lililochangamka. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu... Michael Jackson enzi za uhai wake alipata kutoa vibao mbalimbali mojawapo kikiwa ni Liberian Girl ambacho ndani yake kuna maneno adhimu ya lugha ya Kiswahili, Nakutaka pia...
11 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama heading inavyojieleza tangu kanumba afariki ni muigizaji yupi ni bora kuliko wengine TZ? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mshambuliaji wa mabingwa wa kihistoria Tanzania @heritier_ebenezer ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mwadui Fc kutokana na kuwa na kadi tatu za njano. Tofauti na inavyosambaa kwenye mitandao ya...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Chikupe kuongeza nguvu Yanga dhidi ya Mwadui Fc kesho Baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili, vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga kesho wanarejea 'mzigoni' kwa kuumana na Mwadui fc...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KUTOKA NDONDO CUP HADI MAJARIBIO SOUTH AFRICA . Ukimuuliza Kelvin Sabato 'Kiduku' Kongwe (jezi namba 7 pichani) kuhusu safari yake ya soka lazima ataitaja Ndondo Cup. Ndio, ukipata fursa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
-Kamati ya Nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema Beki wa kati wa klabu ya Yanga, Andrew Vicent Dante hana kesi ya kujibu kwenye kamati hiyo kuhusu kumpiga kichwa mwamuzi wa mchezo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom