Wakuu,kwa mara nyingine nakuja mbele zenu nikitumai nyote mko salama,rejea kichwa cha habari hapo juu.Nimekuwa nikitumia jina langu halisi katika kuwasilisha mada/hoja na pia kuchangia nyuzi mbali...
Nakumbuka miaka ya 1989-93,nilizamia mbuguni now MERERANI kwenda kusaka TANZANITE, nilishawishika kwenda huko baada ya kuona rafiki zangu niliosoma nao wanaporudi mtaani wakifanya kufuru ya...
Kwa masikitiko makubwa leo sisikii kipindi cha Pachanga hapa TBC FM 90.0 MHz (Dsm)
Pachanga ni kipindi kinachopiga miziki ya dansi ya ndani ya nchi yetu Tanzania na kimekua msaada mkubwa katika...
Kwanza kabisa niwapongeze viongozi makocha na shukraaani za dhati kabisa ziwaendee wachezaji wote wa Simba sc
Pili Viongozi Tutengenezeeni sticka rasmi za magari nk zenye maandishi THIS IS SIMBA...
Najua wengi humu ni wadau wakubwa wa Clouds Media Group CMG, Hivyo nimeamua kuanzisha uzi huu uwe mahususi kwa ajili ya wadau waote wa Clouds popote walipo duniani, chochote kile ulichonacho...
Nikianza na Muziki,kwa kipindi cha nyuma muziki wa Dansi(ya ukweli) ulikuwa umeshamiri sana nchini kwetu kiasi kwamba enzi hizo redioni ilikuwa ni mwendo wa muziki wa Dansi tu.
Kuna baadhi ya...
STRAIKA wa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atatua katika Klabu ya Middlesbrough ya England endapo klabu hiyo ikitoa kiasi cha Euro milioni 6.5 (bilioni 17) ambayo ndiyo thamani ya...
MAKOSA KIFRIKA KATIKA WIMBO WA PROF JAY “NIKUSAIDIAJE”
Nikusaidiaje ni wimbo ulioandikwa na msanii wa bongo flavor anayekwenda kwa jina la prof jay akimshirikisha ferooz ni matumaini yangu wengi...
SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI.
MTUNZI;RAJA SAIDY.
WHATSAPP;0756920739.
SMS;0621047841.
SEHEMU YA TATU ( 3 )
ILIPOISHIA....
Nilianza kumuachia Mama pole pole kwa kumtega ili aanguke kitandani...
Ninaposikiliza huu wimbo machozi huwa yananitoka.
Napenda kuusikiliza muda wote na una niweka karibu na roho mtakatifu.
Umebarikiwa mama bikira mama maria ,mama wa mwokozi yesu kristo.
Kwa...
Tukio la Mawaziri kuapishwa,nimekuta limeisha ila nimekuta ndo Mh.Rais anapiga nao picha,lakini katika niliowaona nimemuona Mzee wa siku nyingi sana aliyewahi kushika nyadhifa mbali mbali katika...
PENZI LA SHEMEJI
sehem ya 1
" Naomba umsindikize shemeji yako tafadhali Jun"
alinambia kaka
" Haina tatizo kaka" nikamjibu kaka
Niliingia chumbani na kuwaza sana namna nitakavyofanya
ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.