mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Wadau mtakumbuka Msanii Daimond alimhudumia Msanii Hawa kwenda India kwa matibabu.Naamini Msanii Hawa karejea vipi anaendeleaje na afya yake? Tunaomba mwenye taarifa zake atujuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app