da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
Nimeifuatilia sana hii tamthilia ya Huba ambayo inarushwa dstv
Kiukweli ni moja ya tamthilia bora kwa sasa kuanzia story,script,production, location plus make ups na effects
Upande wa costume design wamepatia sana
Kwenye casting wamejitahidi sana coz kuanzia wahusika wakuu hadi wale supporting cast wanajitahid mno
Nimevutiwa na uhusika wa
Tessa mama kawele
Bi mwenda-sikitu
Fuli-hashim kambi
Tima-kidoa salum
Kashaulo-muhogo mchungu
Chidi-mboto
Sidi-shani pius
Kibibi
Mgeni-riyama ally
Na wengine
Japo msimu wa pili wameboronga kidgo kwa kumpa role aunt ezekiel ambae hajaitendea haki amepwaya utadhan underground wakat hata underground wanamshinda
Ile role angepewa monalisa ingenoga mno
Pia kumtoa roy mutra na kumweka tito zimbwe carlos bado cjaelewa kwa nn imekua hivyo
All in all big up kwao maisha magic bongo wamejipanga kuanzia production ya big budget