Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,320
- 23,237
kwa wale wapenzi wa michano mnakumbuka mtambo? jos mtambo toka kigambo- nino? jamaa alikuwa anachana toka kitambo na wimbo wake wa kidhaa dhaa... mbona alikuwa anachana fesh sana? nini tatizo hakuwa ku fly so high ktk michano? mshkaji mi mpaka leo huwa namsikiliza najiuliza alikuwa anakosea wapi? umesikia roho saba? msela kachana kinoma akiwakumbuka machizi kibao kama D Rob n.k ame flow kinyama yaani kwa speed safi kabisa ya km 100 kwa saa. umekisikia kibao cha Unaonaje?
huyu jamaa kizazi cha miaka ya 2000s hawamfahamu.
huyu jamaa kizazi cha miaka ya 2000s hawamfahamu.