Msanii Darasa

Msanii Darasa

Aigoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
3,124
Reaction score
2,820
Yupo clouds now XXL najiulizaga maswali mengi huyu jamaa anaishi maisha gani mbona haonekani kabisa yani maisha yake hayajulikani yalivyo japo kuna tetesi alikuwa anavuta unga lakini now anasikika poa sana na anaoenekana yuko poa ktk maongezi yake

Kuitwa msanii lazima udeal na media au na washikaji zake wasanii hata picha zake za bata na washikaji holaaa...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom