fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,033
Hii movie inatoa fundisho kwa single mams kuwa makini sana hasa wanapokuwa wameachana au kufiwa na waume zao. Nibora uwe mpweke kuliko kuumizwa mara ya pili, hasa unapokutana na mwanaume mlaghai- anakwambia nia Doctor kumbe ni preacher.
Lakini pia tunajifunza kuwa waangalifu na hawa watu tunaowaita rafiki zetu vipenzi, tuwe na kikomo cha kuwaamini.
Lakini pia tunajifunza kuwa waangalifu na hawa watu tunaowaita rafiki zetu vipenzi, tuwe na kikomo cha kuwaamini.