Jirani msamaria mwema alipiga simu namba 116 Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto baada ya kushuhudia tendo la ulawiti katika kituo cha kulelea watoto kilichopo jirani na makazi yake. Aliendelea...
Imenibidi nikumbuke filamu hii ya FIMBO YA MNYONGE maarufu YOMBA YOMBA hasa nikiangalia sinema zetu hizi sasa za wanaojiita 'mastaa' wa bongo movie. ni sinema ya siku nyigi lakini ilikuwa maarufu...
Bongofleva kwa sasa imesheheni wasanii wengi na wakali, kila siku zinatoka nyimbo nzuri na kali zenye ujazo wa haja. Nyingi ya hizo nyimbo huwa na verse kuanzia 2 na kuendelea na huwa hazizidi 4...
SEHEMU YA 1.
Ndege kubwa toka shirika la ndege duniani Qutar ilionekana ikitafuta uelekeo mzuri wa kutua ndani ya uwanja wa kimataifa wa Hamid karzai international airport ndani ya mji wa kabul...
kwa wale wapenzi wa michano mnakumbuka mtambo? jos mtambo toka kigambo- nino? jamaa alikuwa anachana toka kitambo na wimbo wake wa kidhaa dhaa... mbona alikuwa anachana fesh sana? nini tatizo...
RIWAYA: KONSTEBO NGUZU
NA: George Iron Mosenya
"Nimekosa magoli zaidi ya 9000 katika maisha yangu, nimepoteza mechi zaidi ya 300 katika maisha yangu, niliaminiwa mara 26 kuwa nitaipatia timu...
SEHEMU YA 01-Nyemo Chilongani
“Unahitaji kuwa nani baadaye?” lilikuwa swali la kwanza mzee Jackson Gwamaka alimuuliza binti yake aliyeitwa Nandy aliyekuwa akisoma darasa la sita katika Shule ya...
Sikuwahi kuzipenda muvi za Kihindi ila baada ya kuona trela la muvi iitwayo I, nikaamua kuidownload, imeigizwa mwaka huu, nilitaka kuona inahusu nini. Kiukweli niliipenda mno, hebu ngoja...
Msichana Josie anatarajiwa kuolewa na jamaa aliyeitwa Liam, moyo wake una furaha sana, anapambwa, anajiandaa kwenda kufunga ndoa kanisani. Baada ya dakika kadhaa wanaingia marafiki wa mume...
Muvi moja kali sana. Hebu itafute uone jinsi watoto mapacha saba wanavyoishi maisha ya kujificha tu ndani. Babu wao hakutaka wagundulike kwani wote wangeuawa na kubakizwa mmoja tu.
Wakati...
Enzi ya Mwalimu kulikuwa na majengo kumbi maarufu jijini dar... Tukianzia pale Morogoro road na Msimbazi kulikuwa na kumbi maarufu ya wazee waliopigana vita na mkoroni jina la ukumbi ulikuwa...
Nyemo Chilongani
Bupe Wowowo
Ukiniambia nimuelezee msichana huyu, cha kwanza nitaanza na macho yake. Ni msichana mrembo, asiyeisha hamu hata ukikaa na kumwangalia. Alikuwa na umbo namba nane...
Nimeifuatilia sana hii tamthilia ya Huba ambayo inarushwa dstv
Kiukweli ni moja ya tamthilia bora kwa sasa kuanzia story,script,production, location plus make ups na effects
Upande wa costume...
SEHEMU YA 01 “Johnson! Naomba unisikilize, nisikilize kwanza,” alisema msichana mmoja, mrembo ambaye kwa kumwangalia, usingekuwa na maswali mengi kwamba alikuwa mmoja wa wasichana ambao baadaye...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komred Kheri James (MCC) amewaongoza viongozi na watendaji wa jumuiya hiyo ktk shughuli ya kukabidhi vifaa vipya navya kisasa kwa bendi yao ya Vijana Jazz ikiwa ni...
Wadau mtakumbuka Msanii Daimond alimhudumia Msanii Hawa kwenda India kwa matibabu.Naamini Msanii Hawa karejea vipi anaendeleaje na afya yake? Tunaomba mwenye taarifa zake atujuze.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.