Wimbo mgambo natafuta huu wimbo

Wimbo mgambo natafuta huu wimbo

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
 
huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
[emoji4] [emoji4] unataka uuweke status whatsap kufikisha ujumbe? Ukiukosa kabisa kabisa tafuta ule mwingine "mugambo wanaruka na kukanyagana" sijui ni wa Juma Nature

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom