Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Kwakeli niwe muwaz,napenda sana muziki a reggae, ni muziki ambao huuchoki kuusikiliza,kuanzia beats mpaka vocal ni namna gani hawa watu wanakipaji cha muziki.
Hata MTU asivutie kwenye kuimba lakin bado ukapata ile radha ya vyombo ~instrument~.
Kwa hiyo huu muziki kwangu utaendelea kuwa bora
Hata MTU asivutie kwenye kuimba lakin bado ukapata ile radha ya vyombo ~instrument~.
Kwa hiyo huu muziki kwangu utaendelea kuwa bora